Muda wa Kazi

1 comment:

  1. Mandai Herbalist Clinic Tunafanya kazi kila siku bila kujali sikuku ya aina yoyote. Ofisi inafunguliwa siku zote za wiki kuanzia saa moja kamili asubuhi (1:00) hadi saa kumi na mbili na nusu jioni (12:30) jioni

    Kama unahitaji kufika Mandai Herbalist Clinic panda gari lolote la kuelekea Gongo la Mboto kisha shuka Ukonga, Mombasa halafu uliza kwa madereva boda boda wapi kwa Tabibu Mandai watakuelekeza hadi tulipo. Karibu upate tiba zitokanazo na mimea na matunda na utapata ushauri kutoka pia.

    Kwa maelezo na mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

    ReplyDelete